Sisi wanywa Bia hatulalamiki, lakini nyie sukari imepanda kidogo mnapiga kelele

Wewe kisebengo hata bei ya umeme iliposhuka ulisema kwenu unit zinaisha haraka.

Huna unachokijua zaidi ya kutunga uongo na kuzungusha mikono.
nikikutukana itakuwa nimekuonea ??
Mimi na mada za luku wapi na wapi
 
Hiii nchi raha sana yani, bei ya sukari kg 1 imefika Tsh 2500 basi kila mtu analia, wakati hio sukari kilo unaweza kutumia zaidi ya wiki 1.

Ila sisi walevi bia moja imeshafika Tsh 2500 tumetulia tu tunaendelea kunywa na hio bia unatumia mara moja tu wala haitoshi.

Acheni hizo bana mbona mimi naona sawa.

#AnkoMaguEndelea Tu KutunyooshaNaBado#[emoji124
 
Na hapa kuna Great thinker?

Bia sio basic need kwamba kila mtu anahitaji ila sukari ni basic asilimia kubwa wanatumia kwenye vyakula juice na mengineyo.
 
Bia sio basic need lakin nayo inatumia sukari inapotengenezwa na inaiongezea mapato makubwa serikali
 
Wewe kisebengo hata bei ya umeme iliposhuka ulisema kwenu unit zinaisha haraka.

Huna unachokijua zaidi ya kutunga uongo na kuzungusha mikono.
Hivi kumbe umeme ulishuka bei? lini hiyo mbona hatuambizani? Mbona kuanzia Mwezi wa 4 mm natoa 30000 ya umeme badala ya 15000 kabla ya Mwezi huo?
 
Hivi kumbe umeme ulishuka bei? lini hiyo mbona hatuambizani? Mbona kuanzia Mwezi wa 4 mm natoa 30000 ya umeme badala ya 15000 kabla ya Mwezi huo?
Uko bize kuzungusha mikono na kunywa viroba utajua wapi kuwa service charge ilishaondolewa??
 
Bia hunywewa kama kitu cha ziada tena na wachache walionazo.
sukari hutumiwa na watu wote isipokuwa wennye matatizo. sukari ni bidhaa muhimu kwa watu wote hata wale wanaotengeneza bia.
kwa hiyo athari za kupanda kwa sukari huwezi kulinganisha na kupanda kwa bia.
 
Hiii nchi raha sana yani, bei ya sukari kg 1 imefika Tsh 2500 basi kila mtu analia, wakati hio sukari kilo unaweza kutumia zaidi ya wiki 1.

Ila sisi walevi bia moja imeshafika Tsh 2500 tumetulia tu tunaendelea kunywa na hio bia unatumia mara moja tu wala haitoshi.

Acheni hizo bana mbona mimi naona sawa.

#AnkoMaguEndelea Tu KutunyooshaNaBado#[emoji124

Teeeh teeh hata hio sukari yenyewe sio wote tunakunywa chai, sie wengine kila asubuhi ni mtorii au supu, lakini bei ya sukari kupanda imekua kelele hadi basi..kwanza sukari kilo 1 unaweza tumia hata mwezi mmoja kwa kuweka kijiko kimoja kwenye chai, sukari nyingi sio nzuri kabisa...hapa kazi tuu.
 
Uko bize kuzungusha mikono na kunywa viroba utajua wapi kuwa service charge ilishaondolewa??
Kwenye nyumba niliyopanga mm tupo 14. Ukipiga mahesabu ya hiyo service charge utapata sh 500 kwa kila kichwa. Bado haina mashiko kwangu kwani mayai yamepanda kutoka sh 250 mpaka 400. Sukari ndo usiseme. Bado nyama. Yaani kila kitu kimepanda. Mm sio msenge kuahabikia pushup
 
Nilipo ni 3000 imeongezeka kutoka 2400 kwa kilo hadi 3000 kwa kilo 1 pia hata ukiwa na elfu3 unaweza kosa sukari kwa jinsi ilivyoadimika
Mkuu, kama sukari hamna si mtumie ASALI! (Marie Antoinette s voice!
Hiii nchi raha sana yani, bei ya sukari kg 1 imefika Tsh 2500 basi kila mtu analia, wakati hio sukari kilo unaweza kutumia zaidi ya wiki 1.

Ila sisi walevi bia moja imeshafika Tsh 2500 tumetulia tu tunaendelea kunywa na hio bia unatumia mara moja tu wala haitoshi.

Acheni hizo bana mbona mimi naona sawa.

#AnkoMaguEndelea Tu KutunyooshaNaBado#
 
Nimekaa hapa Tausi nimeshikilia Safari ya moto aisee nimecheka sana kama mwehu baada ya kusoma hii mada na ukizingatia wanywaji hawana habari kama bia imepanda bei.
 
Back
Top Bottom