PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 891
- 966
SIRI ZAVUJA MIKOPO CHECHEFU
- Jaji aliyehukumu kihuni kesi za wafanyabiashara waliokataa kulipa mkopo waliokopa kisha kukimbilia mahakamani na kuwapa ushindi ahamishwa mahakama
-atolewa mahakama kuu divisheni ya biashara na kupelekwa mkoa mmoja wa nyanda za juu kusini
-Wafanyabiashara waliojinufaisha na kufilisi mabenki kutumia mahakama wapandishwa kizimbani mahakama ya rufaa
-Mmoja anayetamba kuwaweka majaji mfukoni mwake keshi yake inasomwa leo mahakama ya rufaa mbele ya majaji watatu
-Azunguka usiku kucha jana na juzi akitafuta namna ya kumuhonga walau jaji mmoja ili aharibu kesi apate ushindi kama alioupata kwa jaji aliyetimuliwa
-Wafanyabiashara wadogo wanaopata shida kupata mikopo kutokana na uhuni unaofanywa na wafanyabiashara wakubwa kufilisi benki kutumia mahakama kutinga mahakamani kusikia kitakachojili, kutoa tamko zito
Na Mwandishi wetu,
Ikiwa ni siku moja tangu gazeti hili liripoti kuhusiana na mchezo mchafu unaofanywa na wafanyabiashara wakubwa wanaokopa mabilioni ya pes ana kisha kukataa kulipa makusudi fedha hizo na kukimbilia mahakamani ambako hulalamikiwa kupewa ushindi kwa njama siri zaidi zimevuja kuhusiana na mmoja wa majaji aliyetoa hukumu tata kwa wafanyabiashara wawili kupewa ushindi kwa kesi mbili za benki mbili tofauti huku wakiwakilishwa na wakili mmoja na hukumu zao zikifanana kuhamishwa kutoka kuwa miongoni mwa majaji wa mahakama kuu divisheni ya biashara na kupelekwa katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini akiendelea kuwa jaji
Taarifa zaidi zinasema kuwa wakati jaji huyo akihamishwa, wafanyabiashara walionufaika na hukumu za jaji huyo na majaji wengine tajikuta wakiingia kizimbani tena kuanzia leo kusikiliza rufaa zilizowasilishwa dhidi yao kutokana na mabenki waliyoyadhulumu kukata rufaa kupinga maamuzi yaliyopelekea kuhamishwa kwa baadhi ya majaji..Zaidi ingia www.jamvilahabari.co.tz
View: https://x.com/JAMVILAHABARI/status/1782626695679295701?t=cS12hjIkMvbwhr0bLrGk4g&s=09