Radhia Sweety haya mambo yapo, hii picha wewe hujaielewa tu???
Hii hadithi ilishatoka siku nyingi sana!!!
Afrika ndivyo ilivyo, hata akifa Mandela watasema eti na yeye kawekewa sumu na Frederick de Clerk.
Shikula..... Nilichomanisha ni kwamba hadithi ya Mwakyembe kulishwa sumu na mhudumu wake kufa ( RIP) ilishatoka .. sio habari mpya... Wakati huo Mwakyembe naibu waziri.. kaumwa katibiwa kapona na keshabadilishiwa kapewa wizara mara mbili sasa. Sijasema hakuna waathirika.. Read between lines?? na sijaelewa hoja yako...siku nyingi wapi wakati waathirika wapo?
Shikula..... Nilichomanisha ni kwamba hadithi ya Mwakyembe kulishwa sumu na mhudumu wake kufa ( RIP) ilishatoka .. sio habari mpya... Wakati huo Mwakyembe naibu waziri.. kaumwa katibiwa kapona na keshabadilishiwa kapewa wizara mara mbili sasa. Sijasema hakuna waathirika.. Read between lines?? na sijaelewa hoja yako...
Umafia hawakuanza jana wala leo. Ni game tu wanaliendeleza.Toka 2012 hadi leo.
mwezi ujao ama tuseme wiki ijayo ndio utajua umuhimu wa uzi huu , endelea kutega sikio .
Mh Mwakyembe amabaki ni mlemavu wa sumu aliyowekewa, mpaka sasa hana kucha mwili wake una magamba km Nyoka.
Du! mafisadi hayana huruma. Lakini leo yapo kwetu ngoja tuendelee kuyashangilia.