Well said , hausiki Moja Kwa Moja lakini Jahazi likizama yeye ndiye responsible Mkuu , Ndio maana ya Kuwa leader , inabidi ambane Banzi mambo yaendeMtu wa kutumbiliwa kwa sababu ya ajira hewa BoT sio 'Benno Ndullu' (sijawahi kuwa fan wa huyu bwana kutokana na sababu zingine za kazi zake) hila kwa majukumu yake ambayo for the most part ni kutumia akili kwenye maswala ya uchumi ni ngumu sana kutumia muda mwingi kufuatilia ya chini and everyday administration; sehemu zingine chairman/governor sawa anaweza wajibika lakini sio BoT.
Ukiangalia structure yao BoT kwa mgawanyo wa majukumu jipu ni bwana 'Julian Banzi Raphael' ambaye ndiyo Deputy Governor anayesimamia mambo ya Administration and Internal Controls (AIC), huko ndio kuna HRM and other teams responsible for systems of checks.
https://www.sadcbankers.org/Countries/Documents/Bank of Tanzania.pdf