Ynaoneqana wengi wetu hapa hatujui siasa na wazoefu wa kulaumu.Hivi kazi za mamakamu wa Marais zinatofautiana ? ni same almost nchi zote.Kabla hatujalaumu tunatakiwa tufanye utafiti sio kuleta Uafrica wetu usio na maana.I love his Presentation is very proffesional.He look like he is a good person.
SAHIBA
![]()
Shein at work, hapo anachoma nyavu za wavuvi haramu wilayani Chato!!
Kweli Dr Shein ateweza kuiongoza Zanzibar??
Mie binafisi sina hakika na hili
Huyu kazidi upole.atapelekeshwa sana na kutumiwa kwa maamuzi mabovu.
Brazamen yu is veri right! lakini shida yetu ni kuwa hatuko REDE KUONGOZWA NA INTELECTUALS LYKE HIM!
Mkuu huyu mpole sana ikitokea vita au nchi ikayumba atakuwa wa kwanza kuomba viza kwenda nje