Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,882
- 34,406
Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye yuko tayari kumwozesha binti yake kwa mahari kubwa mno.
Cheche bado inamuwia vigumu kuweka uwiano kati ya biashara yake na familia, na muda wa Cheusi unapotezwa kwa kuwaangalia watoto wake wawili watundu na mimba yake. Cheche anapata faraja kwa Tula kwenye Kigrosari chake, huku baadae studio yake 'ikisambaratishwa' na shangingi linalojiita Lulu linapovamia toka kusikojulikana na kudai apatiwe
Haya tena vitu vipya hivyo kama mtaipenda nitaiendeleza kama hamjaipenda sitaiendeleza mnasemaje wakuu wenzangu? mumeipenda hii hadithi?
Last edited by a moderator: