Siri ambayo ungependa kuifahamu

Habari za majukumu waungwana .Katika kutafakari Leo nikawaza Katika maisha yako ni jambo gani ungependa kulijua au kufahamishwa.

Jambo hili laweza kuwa ndani yako au jamii inayokuzunguka kwa ujumla.
Karibuni.
Ile raha tunayosikia wakati wa ejaculation,kwa nini ni sekunde chache sana?
hivi ingekuwa vipi kama ile raha tungekuwa tunaipata japo kwa dakika 5?
 
Kwanini wakirsto wanasema yesu ni Mungu wengine wanamuita mwana wa Mungu lakini yeye katika maandiko alijiita Mwana wa Adamu?
 
Siri za Almighty Supreme Creator of the Universes and everything in it, that's all!
 
Back
Top Bottom