Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,620
- 3,131
Hata mimi sipendi hiyo tabia.Yaani mtu kakutext yeye alafu anakwambia "Niambie" as if kuna kitu tulikubaliana before.
Hata mimi sipendi hiyo tabia.Yaani mtu kakutext yeye alafu anakwambia "Niambie" as if kuna kitu tulikubaliana before.
Vijana wa xaxa😃😀"mamb"
"Abali ya hasubui"
"Xaxa hv np xul"
"Hil ixhu ulixema"
Huwa natamani kusend la kati, ila nakaa kimya tu
Ukienda dukani au sehemu ya huduma unakutana na ''karibu bosi''. Hili silipendi kabisa, na wamelikariri wabongo wengi ili kuficha ''ujanja ujanja wa kupiga''. Kwangu mimi ni kama anasema ''karibu bwege''. Nitafurahi kusikia ''karibu mteja''for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions.
Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu.
Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
Wewe uko kama mimi. ''Naomba msaada tafadhari'', ..''Wee acha tyuu''"mamb"
"Abali ya hasubui"
"Xaxa hv np xul"
"Hil ixhu ulixema"
Huwa natamani kusend la kati, ila nakaa kimya tu
Ex wangu niliweza kumkamata kwa mambo mengi kwa sababu ya elimu yake ya kuunga-unga na uandishi mbovu. Akinitumia meseji ambayo haina makosa ya kuandika maneno kama ''fanya maalifa'' (fanya maarifa), ''magali yamekuwa shida leo'', najua kabisa kuna mtu mwingine anaandika hizo meseji.Nikiona mtu amenitimia sms yenye maneno kama uyo badala ya huyo, amna badala ya hamna, ataki badala ya hataki, ajaona badala ya hajaona na upumbavu mwingine unaofanana na huo siwezi kujibu hiyo sms maana nahisi kama nachati na fal,a.
Kama ndiyo ujana hata mimi ni kijana ila sina upumbavu wa kuandika mashudu kama haya.
This is quite boringYaani mtu kakutext yeye alafu anakwambia "Niambie" as if kuna kitu tulikubaliana before.
Kwani hizo emoji zina utofautii???Jomoni🤦♀️
Au anatumia hii emoji🥹 kulia badala ya hii
🥺
Sipendi mtu anaandika kiswanglishThis makes me sick every time some one sends this sort of a text kwakweli ... Ila hua namchukulia tu... As bas niliahid kua ntambumilia. 🙏😁🙏
If comes from wife it is ok; tofauti na hapo ukijibu in a positive way kuna kitu kizito kitafuata - kitakujeruhi vibaya.Hello babe, nikuambie kitu....