Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
- Thread starter
- #21
Hahah,kibabe...Ntamkaushia tu!!! Tumekutana nyuma ya fake ID kwahiyo yaliyotokea huko yanaachwa huko huko na kurasa mpya inafunguliwa
Hahah,kibabe...Ntamkaushia tu!!! Tumekutana nyuma ya fake ID kwahiyo yaliyotokea huko yanaachwa huko huko na kurasa mpya inafunguliwa
Kweli kuna watu,wanawambiaga..ivo baba zao.Unamwambia babako "kakojoe ulale"!
Kabisa yaan lazma ningejua ID yake nikae nae mbaliHahah...angekuw member mkuu,ungehaha kumtafta jf uone ka ushawah kumzngua hah
Ukute mke amemuita mumewe Marioo, ndoa inaweza kufa
Hahah..ndo ingekuwa ivo.Kwaiyo Unataka Kutuletea Zile Za Kizaman
UJUA MI NAN..........???
Ohooooo!!!Sasa hapo ungeingia kuchungulia id unakutana na id ile inajiita Monicca ungefanyaje?Juzi namrekebishia bi mkubwa simu nkaona App ya JF nkachoka kuchek vzur naona ni guests nikashukuru.
Ha ha ha bora monicca aisee angkuwa Miss Natafuta hapo sasaOhooooo!!!Sasa hapo ungeingia kuchungulia id unakutana na id ile inajiita Monicca ungefanyaje?
Hah...Bashite angeonyesha vyeti tusingeficha id
kisa tu,umemtusi au umemwambia ukweli kam alikoment pumba?Ndio awe baba/mama mwenye nyumba siku hiyo hiyo unapewa notice
Hahah...Ohooooo!!!Sasa hapo ungeingia kuchungulia id unakutana na id ile inajiita Monicca ungefanyaje?
Haijalishi mkuu umradi ye ndio mwenye nyumbakisa tu,umemtusi au umemwambia ukweli kam alikoment pumba?
eh kweli apo,shida akiamua kufany ubabe...mtu atajuta asee.Haijalishi mkuu umradi ye ndio mwenye nyumba
Au unamwambia hana marinda.
Mbona wspo wenye I'd za kweli na avatar za kweli piajf ni shiidah,tungekuwa tuna id za ukwel sijui ingekuaje!!!!wengine tungeonekana usiku tu.
kama ww labdaMbona wspo wenye I'd za kweli na avatar za kweli pia