nyani jike Senior Member Feb 23, 2016 176 223 Feb 24, 2016 #1 Nimerudi tena baada ya muda mrefu, nitakuwepo nanyi kwa majina naitwa nyani jike! Naishi Dar es Saalam, hello everybody!
Nimerudi tena baada ya muda mrefu, nitakuwepo nanyi kwa majina naitwa nyani jike! Naishi Dar es Saalam, hello everybody!
md4doctor2000 JF-Expert Member Jun 19, 2012 736 315 Feb 26, 2016 #5 nyani jike said: Nimerudi tena baada ya muda mrefu, nitakuwepo nanyi kwa majina naitwa nyani jike! Naishi Dar es Saalam, hello everybody! Click to expand... Karibu sana nyani jike; Je, akina nyani kipera , Nyani Mkongwe , Nyani Ngabu , Nyanidume , nyanile na NyaniMzee ni ndugu zako?
nyani jike said: Nimerudi tena baada ya muda mrefu, nitakuwepo nanyi kwa majina naitwa nyani jike! Naishi Dar es Saalam, hello everybody! Click to expand... Karibu sana nyani jike; Je, akina nyani kipera , Nyani Mkongwe , Nyani Ngabu , Nyanidume , nyanile na NyaniMzee ni ndugu zako?
nyani jike Senior Member Feb 23, 2016 176 223 Feb 27, 2016 Thread starter #6 Hapa jf sina ndugu yoyote ni me na simu yangu na bundle langu tu.teh teh
chiefnyumbanitu JF-Expert Member Nov 28, 2015 906 426 Feb 27, 2016 #7 karibu.. lkn ss ndio ndugu zako. maana simu na bando kama ss tusingekuepo angekukaribisha nani?