Simulizi za the Bold

Daaahh.! Mods naona mmefuta uzi wangu alafu mmenianzishia wa kwenu..

Aya bhana.. Ila sio poa! Mngekuwa mnatupa na sababu za kuubadili/kufuta..
Hvi mkuu huwa unatypia simu ama compyuta mana daah nyuzi moja unaweza kuisoma 2 hrs sasa unawezaje kutype story ndefu kiasi icho.

[HASHTAG]#the[/HASHTAG] bold ndo ulienifanya niipende JF na io story ya 8
 
Hahahahahaaaaa lile nyapala kwa kulisoma tu naogopa sijui huko gerezani ikoje.
Ila Godi kwa mipango ni noma hakosi namna ya kupata buku ten.

Hata hivyo kumbuka Ray ana mtu wa The Board gerezani...
Hawakosi namna.
Polisi mstaarabu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom