Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,346
- 41,701
kampuni zote ni hivyo mkuu unafikiri kwanini samsung ili upate warranty ya ADH wanataka utume imei yako kwao? ikiwa ni imei ya samsung ya korea au usa hupati warranty ukiwa Tz.Soma hii ukinunua simu ya LG Nchi flani na ukaenda nyingine hawatokubali kukutengenezea pitia hii thread uone LG walivyo wapumbavu Bootlooped? Post your info here! [Megathread]
Alafu hiyo service centre nadhani wanahusika na ma fridge na TV na washing machine so sina uhakika.
sidhani kama kuna kampuni inaruhusu hivyo ununue simu kwengine ukatumie kwengine ingekuwa wanaruhusu kila mtu angenunua simu kwa bei rahisi marekani na kuja kutumia huku