Simpendi, ila naogopa kumwacha

Huyo mchumba wako ni kweli huwezi kumuacha,ila atakuacha yeye. Jiandae kisaikolojia broh.

Bahati mbaya ukawa ushamtia mimba. Hahahaha
 
Kwani mnashindwaga nini kutulia mpaka muoe au kama unajua una mchumba kwanini usiwe muwazi kwa huyo mchepuko??
Sidhani kama binti ungemwambia tangu mwanzo ukweli angekuganda mpaka mimbaa
 
"nikija kumsaliti(kumwacha) yeye ataandika kinotice kisha atajiua", siku zote huu ni upuuzi
 
Kwani mnashindwaga nini kutulia mpaka muoe au kama unajua una mchumba kwanini usiwe muwazi kwa huyo mchepuko??
Sidhani kama binti ungemwambia tangu mwanzo ukweli angekuganda mpaka mimbaa
Asa kama wewe rubi nikwambie nina mchumba utanikubalia? Vinginevyo nawewe uwe mchepukaji
 
"Komaa naye siku njaa ikiuma unamvutia waya# usimwache kwanza kula kula tena
 
Asa kama wewe rubi nikwambie nina mchumba utanikubalia? Vinginevyo nawewe uwe mchepukaji

Kuna Binadamu wabinafsi sanaa.....Wewe unachepuka kwake lakini unataka yeye awe faithful kwako??
Kama unaona hutakubaliwa nenda kimboka katafute ambao hawakati!! kwanini umdanganye mtoto wa mwenzako? haya sasa mimba hiyooo uongo wako umekusaidia kitu gani??
 
Umenisaidia kumpata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…