UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,463
Ebu jaribu kumuacha tuone km atajiua kweli....
mkuu, kwani ww ni mgeni na hizi ngonjera za youngsharo. huyu tushamzoe kwa utunzi,
Ebu jaribu kumuacha tuone km atajiua kweli....
hahahaaaaaa basi muoe kama hutaki afe,,,au oa wote wawilipumbaaavu unaona kufa kama kwenda chooni ee? Ile damu ya mtu bhana.
Bado sijapataUmeshapata suluhisho mkuu??? Nimeamka sasa...
Kwaiyo ulitaka nichepuke na ur dada ndo unishauri?Kuchepuka uchepuke wewe kuachana tushauri sisi
"nikija kumsaliti(kumwacha) yeye ataandika kinotice kisha atajiua", siku zote huu ni upuuziHabarini ndugu wanajukwaa,
Kama mjuavyo katika mapenzi mda mwingine mwanaume unaweza kuweka mahusiano na mwanamke kwa ajili ya kupunguza stress, nilikuwa namkumbuka sana mchumba wangu ambaye yupo mkoa na tayari nimemtambulisha nyumbani, lakini kutokana na kuwa alikuwa yuko mbali hivyo kuonana nae mara kwa mara inakuwa shida, mara nyingine tunaonana mara 1 kwa mwezi, mara nyingi tunaishia kuchart kwenye simu.
Kwa hapa ninapoishi Nikapata rafiki wa kike ambaye tulijuana na tukazoeana kama marafiki, lakini kadri siku zilivyoenda tulijikuta siku moja tumepeana kile chakula ambacho huwa kinaliwa kwa siri, tangu tugegedane nilianza kumchukia na kujilaumu mimi mwenyewe kwanini nilikubali kulala nae, kwani nilikuwa sitaki hata siku moja nimsaliti mchumba wangu.
Ila huyu niliyemgegeda kusema kweli ananipenda kupindukia na alishaniambia lazima atahakikisha amezaa na mimi, kumbe kweli alikuwa amedhamiria sasa kwa bahati mbaya nimeshamtia mimba.
Akili yangu ya mwanzo kabisa ilinituma kuwa nikisha enjoy nae mara moja basi nisimfatilie tena, kilichokuja kunichanganya ni hiyo mimba niliyomuweka na kikubwa zaidi na kuniogopesha ni kauli zake, ameniambia "nikija kumsaliti(kumwacha) yeye ataandika kinotice kisha atajiua", hapo ndo amekuja kunitia wendawazimu. Nimwache ajiue kwa ajili yangu?
Ebu please wewe kama rafiki yangu naomba unishauri nifanyeje? Kwa sababu mchumba wangu siwezi kumwacha ilihali nampenda na nimeshamtambulisha nyumbani, na huyu nae naogopa kumwacha kutokana na kauli zake anaweza kujiua kweli, alafu kingine sitaki nyumbani wajue kwamba nina mwanamke mwingine nimemtia mimba tofauti na yule mchumba wangu.
Ushauri wako ni muhimu kwangu.
Asa kama wewe rubi nikwambie nina mchumba utanikubalia? Vinginevyo nawewe uwe mchepukajiKwani mnashindwaga nini kutulia mpaka muoe au kama unajua una mchumba kwanini usiwe muwazi kwa huyo mchepuko??
Sidhani kama binti ungemwambia tangu mwanzo ukweli angekuganda mpaka mimbaa
"Komaa naye siku njaa ikiuma unamvutia waya# usimwache kwanza kula kula tenaHabarini ndugu wanajukwaa,
Kama mjuavyo katika mapenzi mda mwingine mwanaume unaweza kuweka mahusiano na mwanamke kwa ajili ya kupunguza stress, nilikuwa namkumbuka sana mchumba wangu ambaye yupo mkoa na tayari nimemtambulisha nyumbani, lakini kutokana na kuwa alikuwa yuko mbali hivyo kuonana nae mara kwa mara inakuwa shida, mara nyingine tunaonana mara 1 kwa mwezi, mara nyingi tunaishia kuchart kwenye simu.
Kwa hapa ninapoishi Nikapata rafiki wa kike ambaye tulijuana na tukazoeana kama marafiki, lakini kadri siku zilivyoenda tulijikuta siku moja tumepeana kile chakula ambacho huwa kinaliwa kwa siri, tangu tugegedane nilianza kumchukia na kujilaumu mimi mwenyewe kwanini nilikubali kulala nae, kwani nilikuwa sitaki hata siku moja nimsaliti mchumba wangu.
Ila huyu niliyemgegeda kusema kweli ananipenda kupindukia na alishaniambia lazima atahakikisha amezaa na mimi, kumbe kweli alikuwa amedhamiria sasa kwa bahati mbaya nimeshamtia mimba.
Akili yangu ya mwanzo kabisa ilinituma kuwa nikisha enjoy nae mara moja basi nisimfatilie tena, kilichokuja kunichanganya ni hiyo mimba niliyomuweka na kikubwa zaidi na kuniogopesha ni kauli zake, ameniambia "nikija kumsaliti(kumwacha) yeye ataandika kinotice kisha atajiua", hapo ndo amekuja kunitia wendawazimu. Nimwache ajiue kwa ajili yangu?
Ebu please wewe kama rafiki yangu naomba unishauri nifanyeje? Kwa sababu mchumba wangu siwezi kumwacha ilihali nampenda na nimeshamtambulisha nyumbani, na huyu nae naogopa kumwacha kutokana na kauli zake anaweza kujiua kweli, alafu kingine sitaki nyumbani wajue kwamba nina mwanamke mwingine nimemtia mimba tofauti na yule mchumba wangu.
Ushauri wako ni muhimu kwangu.
Upuuzi kwamba hawezi kujiua au?"nikija kumsaliti(kumwacha) yeye ataandika kinotice kisha atajiua", siku zote huu ni upuuzi
Mmmh! We unitakii mema"Komaa naye siku njaa ikiuma unamvutia waya# usimwache kwanza kula kula tena
Mnashangaa nini ninaposema bahati mbayaHuyo mchumba wako ni kweli huwezi kumuacha,ila atakuacha yeye. Jiandae kisaikolojia broh.
Bahati mbaya ukawa ushamtia mimba. Hahahaha
Asa kama wewe rubi nikwambie nina mchumba utanikubalia? Vinginevyo nawewe uwe mchepukaji
Umenisaidia kumpataKuna Binadamu wabinafsi sanaa.....Wewe unachepuka kwake lakini unataka yeye awe faithful kwako??
Kama unaona hutakubaliwa nenda kimboka katafute ambao hawakati!! kwanini umdanganye mtoto wa mwenzako? haya sasa mimba hiyooo uongo wako umekusaidia kitu gani??
Bado sijapata
Acha uzinziKwaiyo ulitaka nichepuke na ur dada ndo unishauri?
Ila mi nashangaa la kwako la kucopy MafikizoloKumbe youngsharo hakuna la kushangaa hapa,jina lenyewe young