Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,175
- 2,548
Ndiyo maana ktk nchi iko inayoitwa "serikali". Kazi ya serikali kuiwezesha hii sayansi itende kazi kwa manufaa ya wananchisiasa ni sayansi ndrugu zango π
Serikali ikishindwa kuifanya hiyo uliyoita "sayansi" hapoβπ»βπ» juu kutengeneza mazingira bora ya watu kufanya kazi zao kwa manufaa yao:dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine π
Mathalani ni kufanya kazi kwa bidii ili watu wanufaike na bidii yao ya kazi ni na kufanya maisha yaende kwa urahisi inategemea na haya yanayopaswa kufanywa na serikali;
β Uwezo wa nishati ya umeme wa uhakika na wa bei rahisi
β Uwepo wa miundombinu bora ya usafiri na usafirishaji
β Uwepo wa sera bora za kilimo na bei za mazao ya kilimo kwa wakulima..
β Uwepo wa mazingira salama na rafiki ya kibishara..
β Uwepo wa huduma bora za kijamii mf. afya, elimu, kisheria nk nk
β Uwepo wa sera nzuri na rafiki za kodi
β Uwepo wa mifumo imara na madhubuti kudhibiti rushwa na ufisadi serikalini.
β Uwepo wa mfumo thabiti wa kisheria na utoaji haki nk nk
Sasa niambie jukumu la hayo yote ni la nani? Sio la serikali? Vipi inapokuwa imeonekana iwaziwazi kuwa imeshindwa kutekeleza wajibu wake?
JIBU NI: wananchi kuiwajibisha serikali hiyo kwa namna njia zozote halali..!!
Ndo kusema kuwa, kufanya kazi kwa bidii bila ubora wa mazingira hayo hapo juu ni kazi bure ndugu Tlaatlaah
Na kwa hili, binafsi nakuona wewe kama mtu mjinga fulani hivi usiyejua jukumu kuu la serikali yoyote ile. Maana ungekuwa unajua usingeandika ulichokiandika hapa..!
Na sikiliza bwana.
Kufanya kazi kwa bidii haimsadii mtu kama anachopata kinaishia kwenye mifuko iliyotoboka kwa kutobolewa na mifumo ya rushwa na ufisadi wa viongozi wa serikali, kodi na tozo onevu kwenye huduma (simu, fedha, umeme, usafiri nk) na bidhaa (petrol nk) kiasi cha kila tunachopata kwa kufanya kwetu kazi kwa bidii kuchukuliwa na serikali ya kifisadi na kutumiwa na wao pekee yao kifisadi..
Hapo ndipo ulipo ugomvi wa wananchi na serikali yao. Hatuitaki serikali iliyojiweka yenyewe madarakani...
Tunataka iwajibike kwa aidha kukaa chini na kubadilika au iondoke ili kuruhusu ije serikali nyingi sikivu na inayowajibika kwa wananchi..
Kiini cha ugomvi upo hapa. ππ»ππ»
Kwamba, tunaandamana mioyoni na waziwazi ili serikali itimize wajibu wake na kama hii iliyopo imeshindwa, basi iondoke ilI kupisha serikali nyingine. Hili haliwezi kusubiri au kwenda kwa utaratibu wa kawaida.
Ni kwa kutumia shinikizo la umma (public pressure) ili kulazimisha mambo kutokea..
It can't be useful to a manipulative and ignorant person like you..!it can't be and it is useless....
Mjinga wewe.uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe π
Hujui usemalo wala ujualo because of your wickedness ..
Na kwa sababu labda wewe unakula vya kifisadi na wizi halafu unabwatuka hapa kuita wenzio "wavivu"
Shame on you..