Kibaya zaidi linazidi kuongeza vijiji kila kukicha. Watu wa mipango miji sioni wanachokifanya. Kata changa zilizokua mwishoni mwa 90s na 2000s kama ilemi, iganzo, ituha, isyesye, itezi, nsalaga hazikupaswa kuwa unplanned kabisa maana nchi tayari ilikua na wasomi wengi kutoka chuo cha ardhiMbeya ni nyumban lakin kale kamji ni kakifala sana. Hakana hata hadhi ya kuitwa jiji. Kile ni kijiji kilichochangamka
We acha tu mkuu yani hii nchi ina mambo sanaEh ajali imeingia siasa 😄
Ligi tayari
Ova
Why Mbeya miaka nenda rudi!!!Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori limeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu.
Inasemekana kuna vifo kadhaa.
----===========
Hii ajali imetokea leo mlima wa Simike Mbembela mkoani Mbeya na kuuwa watu 13 na kujeruhi watu 18, Chanzo cha ajali ni baada ya Lori kufeli breki kwenda kugonga Costa, guta, bajaji na pikipiki na kusababisha vifo na majeruhi.
RPC Mbeya amethibitisha.
Kabisa mkuu hivi pale darajani kabla ya kufika nane nane atafanya maarifa gani mkuuEneo lile la Mbembela Mbeya sasa limekuwa tishio sana kuliko hata mlima Iwambi,sababu kubwa ni barabara ni nyembamba sana,katika eneo litakalomsumbua CHICO katika upanuzi wa njia nne ni kuanzia META mpaka Mbalizi(itampasa kuwa mbunifu sana ukanda huo).
MUNGU WAPUNGUZIE ADHABU YA KABURI WALIOTUTANGULIA NA AJALI HIYO🙏