aliyesikiliza taarifa ya habari lazima atakubaliana nami kuwa habari imejaa uongo
Wamlinde lakini watueleze unawezaje kufukuza mamia ya watu kimakosa? Kweli vioja....Kweli hii Tanzania kuna vioja! Yaani ili kumlinda makonda wameamua kuja na sinema hii?
Hiyo yote ni sababu ya Bashite.Waziri wa Tamisemi Mh. Simbachawane ametoa AGIZO kwa wale wote walioona WAMEONEWA na hatimaye hupoteza AJIRA waende katika ofisi za Tamisemi wakiwa na VIELELEZO vyao. Ili kubaini kama hawakutendewa haki WARUDISHWE KAZINI.
Chanzo:ITV
KUNA MAMBO YANASABISHA UCHOCHEZI NA KUATARISHA AMANI YA NCHI.Waziri wa nchi ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Mh Geogre Simbachawene amewaomba waliokua watumishi wa umma na kuondolewa kimakosa wakati wa zoezi la uhakiki wa vyeti wapeleke vielelezo katika ofisi yake ili aweze kushirikiana na Wizara ya utumishi waangalie uwezekano wa kuwarudisha kazini
Chanzo: ITV
Wamegundua cha muhimu ni performance na siyo CHETI.Tunaanza mwanzo mpya!Wamlinde lakini watueleze unawezaje kufukuza mamia ya watu kimakosa? Kweli vioja....
waende ndioSasa na wale vijana 3000 nao wameende kuripoti au?
Ashukuriwe Mchungaji Gwajima.
Ni kweli mkuu.Watu wamefanya kazi kubwa sana kwa utashi wao kwa manufaa ya umma halafu anajikuta yuko kwenye hewa wakati yuko kazini mshahara unafungiwaWamegundua cha muhimu ni performance na siyo CHETI.Tunaanza mwanzo mpya!
Hili zoezi limeathiri mpaka matokeo ya mitihani mashuleni kwa baadhi ya walimu kuwekwa kwenye hewa.Wanafunzi waliwakosa walimu wao mahiri katika masomo waliokuwa wanafundishwaMambo ya maudhi kutokana na nchi kukosa siasa safi na uongozi bora...Mungu anawaona na hakika hatokaa kimya,mnatesa watu bila sababu,mnaona sifa kufukuza watu kazi huku mkiwakingia kifua kina bashite.
Bora uhakiki urudiwe upya.Maana wengine hawakuwa hewa.Na walioachwa kimakosa???
Tunachoangalia ni falsafa ya kazi tu. Kama ni vyeti watu wanavyo vingi tu na hakuna cha maana wanachokifanya kwa jamii yao kionekaneMmeshindwa kumwondoa bashite baada ya kuona waliokuwa na sifa kama zake mliwaonea.
##Bashite leta vyeti##