brave_3
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 1,187
- 705
Najaribu kifikiri tu ingekuwaje Wenger kama angekuwa VPL je viongozi wa SIMBA au YANGA wangekebali kocha aishikilie timu kwa miaka 12 bila ubingwa?
Kocha wasimba ni mzuri hata ukiangalia wanavyo cheza SIMBA wamebadilika sana tofauti na miaka 2 iloyo pita.
KOCHA amepewa timu ikiwa na wachezaji wabovu. Sasa hawa viongozi wa SIMBA walitaka walitaka SIMBA ikae kwenye form ndani ya miezi 7. Hahahahaha ndoto za mchana hizi
ALIYE SEMA FOOTBALL HAINA SHORT CUT HAKUKOSEA.
Mpira wetu utaendelea kubaki kwa ajili ya Watanzania tu. Hatutakuwa na uwezo wa kupambana na NCHI KAMA UGANDA au KENYA.