B Baba Kiki JF-Expert Member May 31, 2012 1,544 943 Mar 29, 2016 #21 Simba wakishindwa kupanda nyasi nzuri kwenye uwanja wa bunju na kujenga hosteli, itashangaza sana
MamaSamia2025 JF-Expert Member Mar 29, 2012 13,318 29,810 Mar 29, 2016 #22 Simba nawasifu sana wanapouza wachezaji bila kinyongo. Yanga muige wenzenu.
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 31,001 12,945 Mar 30, 2016 #23 Zitaliwa tu na wajanja..........