Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,495
3,196
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
 
Mdomoni ni rahisi sana hizo hesabu.
Njoo kwenye field.
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
Kigezo gani umekitumiaa kujiaminisha kuwa Horoya hatoki kwa Mkapa?
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.

Bado Hamjakoma?, Mnarudia Tena Kauli Zenu Za Kwa Mkapa Hatoki Mtu
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
Simba ikishajihakikishia kuvuka hata huko Morocco isiende au iende ikacheze mfumo wa 6-4-0, lol. Kwa kuwaangalia wale Raja jana, hawatishi kihivyoo, walikuta Simba wenyewe wamepanga kikosi vibaya na wachezaji waliingia kwa hofu.
 
Hamna namna Horoya ata resist kichapo kwa mkapa.
Kwamba mna foward kali kuliko ya Raja au unamaanisha nini? Mpira wa mguu sio mchezo wa kujisminisha hivyo. Hao Raja mwenyewe aiyeikanyaga simba goli tatu kwa Mkapa lakini jana alikuwa kwao lakini kaona ugumu wa kuukwamisha mpira wavuni kwa Horoya.
 
Yaani Kwa Mkapa ni either Horoya afungwe na Simba au Simba amfunge Horoya. Hakuna nafasi ya matokeo mengine yoyote yale tofauti na haya mawili.
Kwamba ina foward kali kuliko ya Raja au unamaanisha nini? Mpira wa mguu sio mchezo wa kujisminisha hivyo. Hao Raja mwenyewe aiyeikanyaga simba goli tatu kwa Mkapa lakini jana alikuwa kwao lakini kaona ugumu wa kuukwamisha mpira wavuni kwa Horoya.
 
Kwamba mna foward kali kuliko ya Raja au unamaanisha nini? Mpira wa mguu sio mchezo wa kujisminisha hivyo. Hao Raja mwenyewe aiyeikanyaga simba goli tatu kwa Mkapa lakini jana alikuwa kwao lakini kaona ugumu wa kuukwamisha mpira wavuni kwa Horoya.
Horoya si kapigwa mbili jana?
 
Aliyempiga mbili wewe alikufunga ngapi kwako? Halafu yeye kafungwa goli dakika ya 43 na dakika ya 89 maanake wakiwa vizuri kimbinu tena wanaueezo wa kupata sare kwa forward za Simba.
Hata kushinda 2+ inawezekana
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
Mnazani Mungu wenu peke yenu huu mpira kaka usiletee mahesabu yako ya biashara ya matikiti kabla hujaingia shambani.
 
Back
Top Bottom