GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,423
- 120,760
Kwani aliporwa?kuna taarifa huku vijiwenu kwamba simba wamerudishiwa point zake. mwenye taarifa za kweli atujuze
Hizo points wanazotaka "kupokwa" ni zipi?Baada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!
Actually kama ni kupokwa points, nadhani Kagera Sugar ndio waliopokwa points walizopata uwanjani kwa kumfunga Simba wa MaonyeshoKama Simba walikuwa wanayajua yote hayo kwanini walikaa kimya na kufumbia macho hayo unayoita madudu Siku zote hadi waone dalili Za kupokwa points ndio watishie kuyaanika?
Mpira wa Tanzania upuuzi mtupu!
Nasikia kuna mwamuzi wa pembeni jana aitoa ushahidi kuwa muda unaotajwa hiyo kadi ya njano kutolewa, mchezaji husika alikuwa tayari ameshakuwa "substituted". Kama ni kweli, ina maana alipewa kadi akiwa bench.sasa hao simba kama walizitaka sana hizo point 3 kwanini hawakushinda ile mechi? waache upuuzi wakusingizia kadi ili kupewa point za huruma, wathibitishe hiyo kadi ilitolewa mechi gani, mwamuzi alikua nani na ilitoka dakika ya ngapi sio kulialia!
Malinzi ana wakati mgumu kuangalia nani ana influence zaidi kuelekea uchaguzi
Actually kama ni kupokwa points, nadhani Kagera Sugar ndio waliopokwa points walizopata uwanjani kwa kumfunga Simba wa Maonyesho
Ndiyo kapoka point tatu za mezani walizopewa simba kimagumashi??Malinzi kaharibu sana soka..yuko pale kimaslahi..
Bila shaka we n shabik w yanga maan ulivyoandika km umetoka ucgznBaada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!