Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
3,861
8,517
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
 
Nilijua tu mechi kupelekwa zanzibar hakuna la maana sana simba itafanya ...kisaikoloji ni kama simba nayo ipo ugenini
 
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah … hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Zamalek kacheza dakika 180 bila goli,

Simba ina advantage maana sare yoyote wanapita au hata 3-2, 2-1, nk

Naiona Simba fainali
 
Nilijua tu mechi kupelekwa zanzibar hakuna la maana sana simba itafanya ...kisaikoloji ni kama simba nayo ipo ugenini
Haikupaswa kupeleka game NZN.

Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi

Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
 
Uchwawa wa Uzanzibari utatuponza
 
Kumpeleka muarabu zanzibar ni kumfanya yeye kuwa uwanja kama wa nyumbani na simba kuwa kama ugenini ushindi wa mpira unategemea sana saikolojia pia...mimi siyo mpenzi wa mipira hivi simba ndiyo imetolewa au bado wanakwenda kucheza ugenini?
Imeshatolewa SSC

KULE ZNZ ilikuwa ugenini

Taifa kwa SSC kuna energy fulani pale Juwan ngumu SSC kukuqcha

Kule ZNZ ni ugenini

Habari imeisha
 
Haikupaswa kupeleka game NZN.

Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi

Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
Taifa simba ingepata bao 2 au zaidi ya 2 uhakika ulikuwa asilimia 100 %
 
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .

Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah

Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?

kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.

Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa

SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.

Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani

Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Simba akivuka hiki kigingi anabeba komba
 
Tsifa simba ingepata bao 2 au zaidi ya 2 uhsk8ka ulikuwa asilimia 100 %
I swear

Pale ingeshinda nyongi

Kitengo cha intellgence cha Ssc kimefeli sna

Mpira ni energy…. Energy flow kwa taifa ni kubwa na ule ndio uwanja wa SSC

KUNA ENERGY TRANSCENDENCE KUBWA

ZNZ walikuwa ugenini

iMeisha iyo
Tqifa simba ingepata bao 2 au zaidi ya 2 uhakika ulikuwa asilimia 100 %
 
Back
Top Bottom