Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,855
- 8,496
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia