Simba ni kubwa Afrika. Comments za baadhi ya Waafrika Kusini wakiogopa Simba kupangwa na Orlando Pirates

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,081
8,671
Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye draw ya kesho.

Screen Shot 2022-04-04 at 1.07.03 PM.png
 
Simba inaonekana mbovu hapa ndani kwa baadhi ya watu lakini naamini timu za nje hawana hamu nayo, na hata mashabiki wao pia, huu ndio ukweli.

Nimeipenda zaidi comment ya mwisho jamaa ameandika about us, Simba SC fans.
 
Tusijipe moyo sana tukabweteka huku tukiamini tumevuka next round,matokeo yake tutakua tunaishia hapahapa robo fainali,Msimu uliopita comments zilizokua ktk page ya kaizer chiefs za wao wenyewe wasouth zilikua hivihivi tena mashabiki wao walifanya maandamano hadi klabuni wakishinikiza uongozi uachie ngazi,na kocha wao afukuzwe japo walifika robo,sisi kuona vile tukabweteka matokeo yake tuliyaona.Timu za south hata zikiwa vibaya still ubora wao wa ligi unawabeba,angalia timu ya amazulu msimu huu japo haijavuka next round ila walikua wazuri sana.Muhimu tusidharau timu yoyote itakayokuja awe ahly Tripoli,au mazembe ambaye hatujawahi wafunga.
 

4 za As Vita
4 za Al Merrick
4 za Platnums
3 za JS Saoura
3 za Kaizer
3 za ASEC
4 za USGN
mtu yeyote mwenye akili timamu lazima rekodi imtishe
Izo ni timu za nje michuano ya kimataifa,tukija nichuano ya ndani kuna Yanga walikula 5 bila.
 
Back
Top Bottom