Simba msipotezwe na Miluzi ya Yanga, Mchezaji asiyetaka kuendelea kubaki aachwe

Apr 27, 2023
93
184
Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..

Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.

Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..

Simba nguvu moja..
 
Ongea yote mkuu ila mshukuruni sana Chama. Huyu mzambia amewasaidieni sana simba. Ni vile binadamu hatunaga shukrani tu
Kwenye mpila wakati ukikupita ndio basi tena, leo mess hayupo tena Barcelona, Ronaldo leo hii hayupo tena madrid
 
Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..

Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.

Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..

Simba nguvu moja..
Lazima kuwe na mikakati ya kutimiza malengo, you need SMART goal setting stratagies
 
Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..

Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.

Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..

Simba nguvu moja..
Mimi nilishasema mapema,kwa hii Simba hakuna mchezaji yeyote anaweza kuringia kiwango chake kwa sasa.
Akiona ana kiwango kikubwa sana,basi aondoke akapate maslahi makubwa kwingine
 
Kuna wanazi wanakwambia chama haondoki
 
Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..

Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.

Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..

Simba nguvu moja..
Kwenye hili nakuunga mkono. Mshahara mnono unategemea na mafanikio yako kwenye utendaji.
 
SITULIKUBALIANA KUA:-
Simba inajituma na inacheza mpira wa kiwango Cha juu mno ukizingatia hata pale inapowakosa Nyota wake muhimu kina Chama, saido na hata Inonga lakini pira Bado linatembea, safu ya ulinzi iko vzr sana ikiongozwa na Yeriko che Malone,

Midfield ndo tumeimarika zaid tukiwa na kina Ngoma, mzmiru punda huyu, alooooh.
Safu ya ushambuliaji nayo ukizubaa wanakukanda (kibul denis).
 
Viongozi nao hawajitambui kiukweli sasa wachezaji gani wakuringia uongozi.Mbwa yeyote atakaeringa nikumpa mkono wakwaheli aondoke pumbavu kabisa wasituchanganye.Timu yenyewe imefanya vibaya halafu wanatuletea upumbavu.Hawa ni wakucharaza mboko tu na kufukuza kama mbwa kenge kabisa hawa.eti na jobe anagoma aise ninahasira sana kenge hawa.
 
Back
Top Bottom