mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 21,665
- 53,804
Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili
Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu.
Kuna matukio mengi simba inaonewa na refa lakini zimbwe anakuwa mnyonge ,ataongea nini akiulizwa na refa,you know sometimes photocopy together ball in the hand.
Hii imeigharimu timu,jana lile kipa ngongoti lilidakia kpira nje ya bokisi, kibu ndio akawa anamshurutisha mwamuzi kwa ishahara,Kibu nae nadhani anajua lugha nyingi.muhamiaji halali.
Zimbwe inatosha kuwa Captain Thank You,kwanza hata kiwango chako kimeshuka
Kama mganga amesena Zimbwe ndio awe captain sawa ila aongeze ukali ,achangamke,amepoa kama supu ya kondoo