Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
8,556
18,063
Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana.

Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo.

Team ya kufika mbali ilikuwa Yanga tu. Basi. Ndo timu pekee Tanzania ya kimafaifa inayoweza fanya vizuri. Ndo maana mna hesabu tano tano dose kwa kila kimeo tunachokutana nacho.
 
Sawa Mwakikundi...
 
SIMBA NA YANGA ZIKIJIUNGA NA LIGI KUU YA MISRI NNE BORA HAZIINGII.
ZITAANZIA NAFASI YA TANO NA KUENDELEA.
 
Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana.

Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo.

Team ya kufika mbali ilikuwa Yanga tu. Basi. Ndo timu pekee Tanzania ya kimafaifa inayoweza fanya vizuri. Ndo maana mna hesabu tano tano dose kwa kila kimeo tunachokutana nacho.
NA NDIO MAANA IMEFIKA,MBALI KABISA,WATU WANASEMAGA AKILI NI UBONGO LAKINI MI NASEMA USIPITUMIA MACHO VIZURI UBONGO SI LOLOTE.
 
Hiyo timu kwenye ardhi ya Mwarabu ni mlenda tu. Walau wakicheza Bongo huwa wanajitahidi kushinda.
 
Unaandika huku unagugumia kwa maumivu, wee huyo mwarabu kakutoa ndukii kwako.
Hujisikii uchungu? Lol

Kazoea huyo wala haoni maumivu,si unajua ukishazoea ile kitu.

Makundi tu kaanza kuingia majuzi tu hapo.
 
Akina Mwakarobo wa Ngujubwaje, Rungwe Mbeya; wajukuu wa Mwafilombe na vitukuu wa Mwankina.
 
Back
Top Bottom