mpira dk 90 mkuuSimba leo ilikuwa inakufa, shukran kwa golikipa na mwamuz. Afu mnataka tufuzu kombe la dunia kwa upuuzi huuu
Unaota nn mkuu? Jifinye kwanza tuoneLicha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.
Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
Mwamuz kafanyaj mkuu?Simba leo ilikuwa inakufa, shukran kwa golikipa na mwamuz. Afu mnataka tufuzu kombe la dunia kwa upuuzi huuu
Hao wote walikosa nini labda? Acha fitina utakuja kuwa mchawi usipokaa sawa... Wachezaji wa mbao waliona wameshinda wakarudi kupaki bus, kila muda wanalala hovyohovyo tu na ujue zile dk ilipaswa ziwe 10 na kuendelea.. Punguza mihemko utaelewa tuSimba leo ilikuwa inakufa, shukran kwa golikipa na mwamuz. Afu mnataka tufuzu kombe la dunia kwa upuuzi huuu
Licha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.
Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
Kelele za chura hizowatatoka tu simba ni chama la waganga sip umeona leo
Waganga halisi mtawakuta Algeria mgegedwe Ndio mrudiwatatoka tu simba ni chama la waganga sip umeona leo
kaweke mzigo kwa muindilazma mkeketwe
Ndiyo walewaleeee, watapatikana kabla ya Jumapili.Unadai mechi ya Mbao ilinunuliwa halafu unadai tena Simba itafungwa na Toto 2-0. Tukisema na wewe unanunua wachezaji wa Simba ili ifungwe tutakosea kweli?
Tupe matokeo.Yanga buana, hivo vitoto vyenu yaonesha mmeshavinyeshwa steroid cocktail kwa ajili ya simba, sisi hapo ni kama tunacheza na yanga ma tukionaga kikani, njano au nyeusi huwa tuna hasira sana na hizi rangi hasa kijani na njano, hatupendagi kabisa hizi rangi hivyo ni kurarua tu jezi!!