Simba achaneni na Freddy Michael si Mchezaji wa Kuchezea Simba

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
5,730
7,979
Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje.

Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa.

Lakini pia waambieni wachezaji wadogo wasivimbe vichwa wajali maslahi ya timu sio binafsi.
 
Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje. Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa. Lakini pia waambieni wachezaji wadogo wasivimbe vichwa wajali maslahi ya timu sio binafsi.
PALE WAMEPIGWAA KITU KIZITO
 
Me ni mshabiki wa Simba sc ila Fred yupo vizuri sana..najua shida yako kisa kakosa magoli..kumbuka yanga ni wachawi sana wanatuharibia wachezaji wetu..Fred yupo vizuri yale makosea yanatokea mzee ila uchawi wa yanga unachangua strikers wa Simba sc kufanya makosa
 
Me ni mshabiki wa Simba sc ila Fred yupo vizuri sana..najua shida yako kisa kakosa magoli..kumbuka yanga ni wachawi sana wanatuharibia wachezaji wetu..Fred yupo vizuri yale makosea yanatokea mzee ila uchawi wa yanga unachangua strikers wa Simba sc kufanya makosa
Uchawi wa yanga unachangia strikers wa Simba kufanya makosa😃😃

Aisee bongo hapana🙌
 
Huyo pimbi akianza mechi ijayo siangalii kabisa huo mchezo.
Inaonekana hata hana sub na ni lazima acheza dk zote 90 hata avurunde kiasi gani.
Shit ye
 
BABY..NAOMBA LAKIMOJA
BFRIEND
USHANIFSNYA KAMA JUMAMGUNDA EEH UNANITUMIA UNANISHITI UKIONA NAHITSJIKA UNARUIDI TENA ..
 
Kama Simba hii iliyokwama kwenye robo fainali Afrika na kupoteza karibia makombe yote nyumbani kwa takribani misimu mitatu sasa kumtegemea Freddy ndio awavushe kutoka hapo walipo ni aidha uwe mwendawazimu au wewe ni kichaa kabisa.
 
Back
Top Bottom