Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

Baby Kabaye aka Sister Dread
 

Attachments

  • sister-dread.jpg
    sister-dread.jpg
    10 KB · Views: 548
  • celebrity radio prsenter Babbie Kabaye hostiing the Lake Gas Composite cylinder launch.jpg
    celebrity radio prsenter Babbie Kabaye hostiing the Lake Gas Composite cylinder launch.jpg
    97.8 KB · Views: 605
Baby Kabaye aka Sister Dread

Huyu dada ni mzuri (very beautiful woman), mie nimeshamuona live, mrefu halafu bonge fulani hivi ila proportionate.....though kwenye tv mie nilidhani ni mfupi....mtu wa mombasa...ana watoto zaidi ya wawili.
 
Kuna mwingine anatangaza citizen tv
Anaitwa lulu hassan ni mzuri kupita maelezo.instagram anatumia jina la loulou hassan
 
mbali na muonekano wake babie kabae hata kichwani ni mzuri kwa jinsi anavyo elezea jambo anafafanua vizuri sana.
 
Nimetoka huko mbio kidogo nivunjike ugoko ila sasa nilichokiona hata sikutarajia kha
Hebu sema ulichokiona na tofauti ya kile ulichotarajia, jamii ielimike. Please wakuu do us a favour, msituache njia panda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom