neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari