mwafa
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 116
- 33
Yaan jf inamambo sana natamani tutafute kijiji tununue alafu tukutane huko
Yaan jf inamambo sana natamani tutafute kijiji tununue alafu tukutane huko
Kina nani wana mikwara?Kumbe nao wana mikwara?
Nani kijana?Haaaaa kwa kweli vijana mna msmbo
Sioni cha kufanya nihame mjiMbona ishu simple tu kimbia mji yaani hama unapokaa
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa......... wengine hadi wana maji ya mto kageraMkuu Galadudu nasikia wana joto zuri sana hao nduguzetu, ni kweli?