Sikumwamini kabla na kwa mechi mbili tu kupitia wachezaji wote waliokuwepo kabla nasibitisha Fadlu David anaua uwezo wa wachezaji Simba

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,733
2,370
Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana.
imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo.

Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora mnooo sema hatuwezi kuona ubora wao chini ya Fadlu David. wote viwango vinaenda kuvunjwa vunjwa.

Kwanini simkubali kabisa Fadlu David. Amewahi kuwa kocha mkuu mara 7.
Sita akiwa Maritzburg United tena akitoka kuwa Asistance kocha Mara zote ameboronga boronga miezi miwili wanamtema.

Je simba walimpataje? Ni muongeaji sana. Orando ikaona anawafaa wakamchukua 2021 ili watafute ubingwa. Wamechoka kuwa wa pili. Mwamba akawasogeza namba 4.

Wakamtema Maritzburg wwakahisi kaiva. Walipompa timu tu mmsimu mzima kaishusha daraja.

Hii historia inapambwa na Buryern Munich kumchukua Vicent Company.
Sio sawa ata. Company anamafanikio makubwa miaka 4 mfululizo. Company aliipandisha Burney Ligi kuu kwa Point nyingi mnoo. Point kumi na moja juu ya anayemfata. Yani point 100+. huyo ndio Company tusimfananishe na Rejected Fadlu. Burney inaachia Wachezajj wote tegemezi waliopanda nao Timu inashuka dalaja na buyern Munich Wanamuona kocha wao wanamchukua. Walimuona akifundisha ligi kuu uturuki. Kwa mafanikio makubwa. Wakamuona tena akiipandisha Burney kibabe Watu wanakuja kusema ata Company alishusha timu lkn buyern wamemchukua.

Fadlu hana historia yoyote bora yeye kama yeye akiwa kocha mkuu.
Tusimfananishe na Arteta kabisa. Arleta kafundisha vijana akaonekana anafaa kumsaidia kocha Mkuu kwa ufanisi anapewa arsenal

Sema Fadlu ni kocha Mswahili. Ndio maana Nilishangaa Simba kumtangaza. Nikapata mashaka na Usajili pia.

Fadlu Akaamua acheze mechi za kirafiki na Timu za daraja la chini zote tena za chini na mpira usiwe live. Tukajua mbinu za Simba uwanja ujae.

Lakini akajivunia timu kutokufahamika. Gamond akapiga bango Mpira ni mchezo wa wazi. Huwezi kuficha mbinu.

Simba wanakosea sana. Wachukukue kocha Asec kama hawamuamini mgunda.
 
Moja ya sababu ya kuchukua wanaweza kumcontroloo, kocha alisema Kibu hayupo fit na Wala haikuwepo pre season lakini alipangwa na hakuonyesha uhai wowote.
 
Ungekuwa unachambua katiba mpya kwa uchungu namna hii, tungefika mbaali!
 
Kwani huyu Fadlu kakuchukulia mkeo mbona unamundama sana yaani umechukua kandarasi kabisa ya kumkandia , jaribu kuwa na kiasi kama ni ushuri umeshatoa inatosha lakini wewe kila ukilalal ukiamka ni Fadlu inaonekani ni kitu personal. Leta mada nyingine hii imechosha sasa.
 
Nadhan huyu ni yule mushumbushi wa Dk.Mihogo
 
Kwani huyu Fadlu kakuchukulia mkeo mbona unamundama sana yaani umechukua kandarasi kabisa ya kumkandia , jaribu kuwa na kiasi kama ni ushuri umeshatoa inatosha lakini wewe kila ukilalal ukiamka ni Fadlu inaonekani ni kitu personal. Leta mada nyingine hii imechosha sasa.
Zingatia hoja. Hoja ipo palepale. Fadlu Hajawahi kuwa kocha mzuri tusitegemee Muujiza. Ntatuma jumbe mpaka aelewe tu
 
Sasa unajihangaisha na mtu ambaye hata hajui kama una exist. Alikuja Benchikha ana profile kubwa jee alifanya nini la maana. Give him time, amekaa na timu kwa week tatu na wachezaji wengi ni wageni don't expect miracles, even Rome was not built in a Fortnight. Maandiko unayoandika humu yeye hayaoni sasa unaonyesha chuki tu ambayo haina maana yoyote.
 
Back
Top Bottom