Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 85,367
- 167,521
Nyerere mnafiki sana😂😂😂Haya yote Nyerere ndio aliwezesha maana aliwahi kukori kwa kinywa chake kuwa katiba ni mbovu. Angeweza kubadilisha lkn wakati huo aliona ipo upande wake.
Kwasasa majamaa yamesha weka mizizi ni ngumu sana kuwatoa kwa kweli.