Siku ya Nyerere ila Sare in picha ya Samia? Hii imeenda

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Hii imenihsngaa na haijawahi kutokea, nahisi huko mbele watoto shule watavaa picha ya samia.
Screenshot 2024-10-14 233310.png
 
Nchi hii hatuna uongozi sio Rais sio makamo sio waziri mkuu nitakataka wameshindwa kuweka screen kubwa na kuonyesha hotuba za baba wa Taifa pale uwanjani ?

Hata kwa nukuu tu na wameshindwa kuwapa wananchi vijibendera vidogo vya Tanzania vyenye picha ya Nyerere wakawa wanavipeperusha uwanjani?.

Ombe la uongozi na ulevi wa madaraka tu.
 
Nchi hii hatuna uongozi sio Rais sio makamo sio waziri mkuu nitakataka wameshindwa kuweka screen kubwa na kuonyesha hotuba za baba wa Taifa pale uwanjani hata kwa nukuu tu na wameshindwa kuwapa wananchi vijibendera vidogo vya Tanzania.

Ombe la uongozi na ulevi wa madaraka tu .
Pale werevu na wenye akili na busara wanapokuwa nnje ya mfumo wa kuchaguliwa, mambumbumbu hupata nafasi kwa wingi wao kuchaguana na kupata nafasi za uongozi.
 
Pale werevu na wenye akili na busara wanapokuwa nnje ya mfumo wa kuchaguliwa, mambumbumbu hupata nafasi kwa wingi wao kuchaguana na kupata nafasi za uongozi.
Haya yote Nyerere ndio aliwezesha maana aliwahi kukori kwa kinywa chake kuwa katiba ni mbovu. Angeweza kubadilisha lkn wakati huo aliona ipo upande wake.
Kwasasa majamaa yamesha weka mizizi ni ngumu sana kuwatoa kwa kweli.
 
Nchi hii hatuna uongozi sio Rais sio makamo sio waziri mkuu nitakataka wameshindwa kuweka screen kubwa na kuonyesha hotuba za baba wa Taifa pale uwanjani hata kwa nukuu tu na wameshindwa kuwapa wananchi vijibendera vidogo vya Tanzania.

Ombe la uongozi na ulevi wa madaraka tu .
Lengo lao siyo Nyerere, wanafanya kampeni zao
 
Back
Top Bottom