Huu uzi ni wa maana sana, lakini baadhi yetu tunaudharau sijui hata ni kwa nini wakuu! Ukifuatilia mzunguko wa mwanamke kwa makini unamuepusha na kutumia vidonge/sindano za uzazi wa mpango ambavyo vina madhara makubwa kwa afya zao na za kwetu vile vile! Ni hayo tu
Mimi kama mimi huwafariji sana kipindi wapo period... Jitihada zifanyike kuwapa msaada wa Hali na mali pindi wawapo kwenye Period... Wasichana wengine hukosa masomo kisa tu Hedhi.. Tujitahidi kuwajali na kuwathamini..Tusiwatenge wanawake wawapo kwenye hedhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.