Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 643
- 500
Dah hivi kwanini zali kama hizi hazijagi kwetu?Yani ingekua full kubanjuana tu.
Mungu wangu mtauana tu mtu mmoja ana watu wanne,watatu kati yao wakikufuata itakuaje? At least wenzetu waaminifu kiasi fulani
Picha?
Kil
Umri wako?
Haya muwekeane Picha sasa....!
Natamani ije huku bongo maana yake unamchagua unayemtaka, achana na wale walio kwenye ndoa na akigoma unampeleka polisi
Au yale maadhimisho ya saba sabaIletwe Tanzania, tena iwe ni wiki nzima kama ilivyo wiki ya nenda kwa usalama barabarani.