zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,528
- 1,064
iki chumba cha 15,000 kiko mitaa gani vile...??Hapo umezungumzia katika swala la anasa, igeuze upande wa pili sasa kwa wanaotumia ktk mambo ya msingi ya kukuzia kipato chao.
Hiyo laki atalipa kodi ya nyumba kwa miezi 4 in which kila mwezi atalipa 15,000! Atabakiwa na 40thau anayoweza kuongeza ktk kimtaji chake cha kuuza Samaki.
Upande mwingine, hiyo laki haitoshi hata mafuta ya gari ya mizunguko ya siku kwa mtu na V8 lake.
The value of money bases on your use of it.