Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,122
ooh! JF is another world
Niliwahi kusema humu siku za nyuma. Hata swala la kumtongoza mwanamke anakataa halafu unabembeleza huwa halifai maana hujui kinachomfanya akatae. Akisema hapana au sitaki, tulia angalia mengine, na si kujinunisha kama mtoto au kuanza kujilizaliza. Najua nachokisema.