Siko mjinga kiasi hicho

Sasa na ww si una malengo yako? Au umesahau rais wako alisema 'ukitaka kula sharti nawe uliwe kidogo'
 
NI TUMEFAHAMIANA WIKI HII, SIKU YA KWANZA TUMEKUNYWA SODA UKASEMA HUTAAGIZA CHAKULA UMESHIBA, NIKAKUAMBIA CHUKUA HII 5,000 UWEKE VOCHA. LEO HII, SIKU MBILI BAADAYE UNANITUMIA MESSAGE;

"Baby, tarehe 25 mwenye nyumba wetu anakuja kuchukua kodi sasa mimi kuna hela fulani niliipunguza kama elf. 50,000 alf cna means ya kureplace please naomba unisaidie coz mwenye nyumba wetu ni mkorofi sana. Jamani baby i mic you, nina hamu ya kukuona jamani am so hot baby, njoo nikupe mahaba baby, i love you baby...."

POLE SANA, HIYO 5,000 NILIYOKUPA JUZI ILIKUWA JARIBIO LA KWANZA NA UMESHAFELI MAPEMAAAAAAA. HAPO BADO HUJANIPA PAPUCHI, UKINIPA ITAKUWAJE? CHUONI KWENU KUNA BOOM AU NDO IMEKATA? ULIJUAJE KAMA UTAKUTANA NAMI? USINGENIFAHAMU UNGEMWOMBA NANI? INAONYESHA HATA STYLES ZA KUMWINGIA MWANAUME HUJUI, MAMA WEEEE, KWA HERI.

Mi nilifahamiana na mmoja kwa mbwembwe akaniambia asili yake ni uganda, na kinglish cha kuunga nkasema poa tukaenda sawa, tumepeana contacts, tukachat cku mbili, ya tatu kaniambia amesababisha shoti kazin kwake nimsaidie elf20, nkamwambia cna, cku ya nne kama kanipigia simu mabusu kibao niliposema aisee leo umenidatisha akasema my dear ijumaa kuna rafiki yangu anafunga ndoa naomba kama unaweza nitumie hela ninunue baibui, nkamwabia ntakujibu baada ya nusu saa, 30mns after akanibip kunikumbushia, nkamwandikia simple, "Hatujaonana unaniomba hela, tukikutana c utaniomba damu? Yamenishinda, tafuta -----mwingine yaonekana mm gear imefeli, alinijibu ka sms kafupi, MAPENZI NI KUSAIDIANA, Nilichoka sana nkamwabia kasaidiane na wengine si lazima mm., Wanawake wengine ni shida! Yataka moyo.
 
Ef amsini tu unakuja kufungua uzi JF, kama chenji haitoshi waachie wengine hizo luz bols...mi wanawake kama hao ndo nawataka, yani hao ndio wana-mean business mnatiana unampa chake, cha msingi ni kusev namba yake, ukibanwa unajipigia bila stress..
 
Back
Top Bottom