Sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu

ntuchake

JF-Expert Member
Apr 17, 2024
437
1,609
Hivi kuna watu humu wapo kama mimi? Mimi bhana katika maisha yangu sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu eti niseme huyu nilicheza nae, nilisoma nae shule ya msingi au secondary alaf mpaka sasa tunawasiliana.

Katika kila hatua ya maisha yangu nakua na marafiki ambao naelewana nao vizuri, ila hiyo hatua ikiisha tu na urafiki unaishia hapo. Kunakua hakuna mwendelezo wa urafiki wetu.

Ata nikihama kazi wale watu ambao nilifanya nao kazi pamoja ndo inakua imeishia hapo hakuna mwemdelezo.

Sina tabia ya kujiattach kwa mtu mpaka ile mtu anizoee kupitiliza. Mtaani wananiita usalama wa taifa 😂😂 Nimejikuta tu nawaza hivi kuna watu wapo kama mimi nataka nianzishe chama letu chama la wana 😂
 
Ile mnakua marafiki kwakua kuna kazi mnafanya pamoja au kuna jambo limewakutanisha but likiisha na urafiki unaisha... nitakua katibu kwenye hiko chama.
 
Nina rafiki mmoja tu wa kudumu. Huyu ni zaidi ya ndugu. Tumeshafanya mambo mengi makubwa; na hata mke wake anajua kuwa kama ikitokea jamaa akakata moto; mimi ndiye nitachukua jimbo (ende vaisi vesa 😭)!

Ni bahati kuwa na rafiki wa aina hii...Thank you nsumbangw'ichane ntale namhala Nzokasazi yapi ya Dasina Ntuzu!🙏🏼
 
Hivi kuna watu humu wapo kama mimi? Mimi bhana katika maisha yangu sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu eti niseme huyu nilicheza nae, nilisoma nae shule ya msingi au secondary alaf mpaka sasa tunawasiliana.

Katika kila hatua ya maisha yangu nakua na marafiki ambao naelewana nao vizuri, ila hiyo hatua ikiisha tu na urafiki unaishia hapo. Kunakua hakuna mwendelezo wa urafiki wetu.

Ata nikihama kazi wale watu ambao nilifanya nao kazi pamoja ndo inakua imeishia hapo hakuna mwemdelezo.

Sina tabia ya kujiattach kwa mtu mpaka ile mtu anizoee kupitiliza. Mtaani wananiita usalama wa taifa 😂😂 Nimejikuta tu nawaza hivi kuna watu wapo kama mimi nataka nianzishe chama letu chama la wana 😂
Chama la usalama wa taifa?
 
Mimi ukiacha ndugu zangu wa damu the rest huwa wanaishia ghafla,hata kwenye mapenzi siwezi kudumu na mwanamke kwa miezi sita,namkinai namtafutia sababu namuacha

Nashangaa eti mtu yuko kwenyemahusiano miaka miwili sijui saba
 
Hivi kuna watu humu wapo kama mimi? Mimi bhana katika maisha yangu sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu eti niseme huyu nilicheza nae, nilisoma nae shule ya msingi au secondary alaf mpaka sasa tunawasiliana.

Katika kila hatua ya maisha yangu nakua na marafiki ambao naelewana nao vizuri, ila hiyo hatua ikiisha tu na urafiki unaishia hapo. Kunakua hakuna mwendelezo wa urafiki wetu.

Ata nikihama kazi wale watu ambao nilifanya nao kazi pamoja ndo inakua imeishia hapo hakuna mwemdelezo.

Sina tabia ya kujiattach kwa mtu mpaka ile mtu anizoee kupitiliza. Mtaani wananiita usalama wa taifa. Nimejikuta tu nawaza hivi kuna watu wapo kama mimi nataka nianzishe chama letu chama la wana.
Mi ninao marafiki wa tangu utotoni, jambo nisilopenda ni mazoea na marafiki zangu wanalijua hilo.
 
Back
Top Bottom