Hivi kuna watu humu wapo kama mimi? Mimi bhana katika maisha yangu sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu eti niseme huyu nilicheza nae, nilisoma nae shule ya msingi au secondary alaf mpaka sasa tunawasiliana.
Katika kila hatua ya maisha yangu nakua na marafiki ambao naelewana nao vizuri, ila hiyo hatua ikiisha tu na urafiki unaishia hapo. Kunakua hakuna mwendelezo wa urafiki wetu.
Ata nikihama kazi wale watu ambao nilifanya nao kazi pamoja ndo inakua imeishia hapo hakuna mwemdelezo.
Sina tabia ya kujiattach kwa mtu mpaka ile mtu anizoee kupitiliza. Mtaani wananiita usalama wa taifa 😂😂 Nimejikuta tu nawaza hivi kuna watu wapo kama mimi nataka nianzishe chama letu chama la wana 😂