Pre GE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jinga la nguvu ni wewe. Umejibu hoja ya post yake? Jibu hoja je Lisu aliwahi kusema hana ndoto za kuwa Mwenyekiti? If yes, anachofanya sas, ni mtu wa kumwamini? Ndiyo hoja ijibu
Shida yako unasukumwa na mahaba binafsi. Nipe hoja tano tu ni kwanini Mbowe aendelee uwa mwenyekiti. Nipe sera zake tano tu unazozijua! Mimi siendeshwi na ushabiki binafsi, naamini katika ukweli na uhalisia.

Kama unahisi Mbowe ni mtu sahihi kwa nyakati hizi kuongoza Chadema basi umefeli pakubwa mno. Pia kama unamuamini huyo kilaza mwenye post basi fuatilia post zake humu jukwaani.
 
Uongo uko wapi hapo? Hakuwa na ndoto hiyo mpaka kufikia muda huo.

Mambo yamebadilika ameona madalali hawako serious na harakati za upinzani. Ameamua awafuate hukohuko juu na kuwaonesha "how it's done!".
Basi the best conclusion ni kuwa huyo mtu haaminiki, analolisema leo kesho atageuka.
Ukishasema moja, basi you are excluded to say Mbili kwa mtu mwenye msimamo.
Ndiyo maana tunasema LISU hana kaba ya Ulimi. Mtu kwenye kaba ya Ulimi atasema kuwa siwezikusema maana sijui kesho itakuwaje! Kumbe jitu la hovyo kabisa.
He sails in the same boat od politicians, never trust them akiwa nasaka madaraka kama anavyofanya sasa. Afadhali Mbowe angelijua asingelitafuta ndege , wangempeleka Muhimbili
 
Lissu ni muhuni, hafai hata kuongoza familia. Anatosha huko huko kwenye uanaharakati na sheria, not leadership!! By the way naskia hata ule ugombea urais 2020 alipewa kwa bao la mkono, aliangushwa vibaya kwenye kura za maoni
 
Back
Top Bottom