kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,036
- 5,077
- Thread starter
- #21
Hiyo ni hoja nyingine ya nyumbani, yani alivyomkaanga mpina ndicho anapiga kelele yeye asikaangwe.Kwa nini alimkaanga vile Mpina kwenye sakata la sukari??
Lakini hoja ya mpina kwa hili nililoweka sasa havina uhusiano.
Point yangu hapa ni kwamba kama walivyo wanasiasa wa Afrika, she is smart lakini anajitoa ufahamu na ego tu akiwa home anajua atafanya chochote hakuna la kumfanya.