Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,684
Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto.
Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside.
Hivyo Nina kawaida ya kuwauliza mademu imekuwaje tumekuwa wapenzi, je unadhani nafsi imeridhia kiroho safi, nikiambiwa uko poa ila na jamaa au dada x alikusifia sana nikapagawa namtema mapema sana.
Inatokea najihisi natoka na pisi ya mlo wa kibudu nafsi inakata kiu kabisa, navunja mahusiano kwa muda hata mwezi hivi nilasikilizia majungu na mitusi kama hana shobo za machukio basi nampa tena nafasi.
Karibuni Kwa simulizi za kupata mademu kupitia kwa Chawa wetu, masela, masista, mabest, madogo, wapambe na a.k.a zote.
Shadiola huko uliko sijakuwacha nasikilizia nione kama una shombo au una hekima.
Karibuni mabaharia wote
Kichwamoto pasi za machawa