Sijawahi kabisa kumuelewa Rais Samia kafanya nini hadi sasa

Nikusaidie kidogo!
1. Miaka almost 6 yaani 2015 mpaka 2021 watumishi wa umma hawakuwahi kupandishwa madaraja wala mshahara kuongezeka japo ule wa annual increment, lakini huyu mama Alipoingia watu wamepanda madaraja ,angalau kwa uchumi wetu watu wananufaika na annual increment kila mwaka, malimbikizo ya madeni na mishahara inalipwa si kama awamu iliyopita! Kwa hili tumpe Sifa anayostahili!.

2. Miaka 5 nyuma yaa 2016 - 2021 wadaiwa wa bodi ya mikopo walikuwa wanapata taabu sana deni linakuwa !, yaan ukilipa moto ukilicha moto , now hali ipo shwari unalipa tu ile pesa uliochukua hakuna ongezeko kama ilivyokuwa awali !, wahitimu sasa wanalamba asali .

3. PAYe ilikuwa asilimia 11 sasa ni asilimia 7 , Je sio jambo la maana hilo???
4. Miaka ya 2016 had 2021 bima y afya mtoto wa mnufaika alikuwa sharti awe chini ya miaka 18 , lakini sasa wamesogeza angalau miaka 21 Je si jambo jema hilo???
5. Ajira vijana waliluwa wanazisikia kwenye bomba tu saivi tangu miaka ya 2021 mpak sasa vijana wangapi wameajiliwa na serikali yake?! Je huoni amefanyakazi kubwa sana ambayo awali haikufanyika???
6. Suala la uchumi huria ! Niambie wafanyabisahara wanavyoneemeka na kodi huru huwezi linganisha na nyakati zile .
7. Mikopo ya elimu ya Juu ipoje !! Kuna mtu anakosa shule kisa ada??? Lazima mmpe maua yake!
8. Diplomasia ya kimataifa !! Tanzania inasemwa vizuri kimataifa n kiooo !.

Nimekujuza mambo mazuri nayoyaona kwa mheshimiwa ! Unapaswa kulipa kodi ili tujenge taifa letu!
Kama una akili basi itakua akili kisoda, ni aslimia ngapi ya watanzania ni waajiliwa wanaojivunia mishahara kupanda, kuhusu biashara, umewahi kushiriki ktk biashara ipi, ulifatilia mkutano wa wafanya biashara soko la kaliakoo? Uliwasikiliza na kuwaelewa hoja zao?

Naihurumia ada ambayo wazazi wako walilipa ili wew upate hii elimu inayokufanya uandike pumba...

Imagine wazee wa kizungu miaka 70 au 80 husain contract za miaka 90 na viongozi wa kiafrika na kitanzania, though wazee wale wanatambua vema hawawezi ishi mda mrefu hufanya yote ajiri ya wajukuu na vitukuu, wakati huo wazee na viongozi wenu husain mikataba ya kuwaumiza vitukuu vyao pasipo kujari lolote

Naona aibu kujuona ukitumia elimu yako kuandika upupu pasipo kujari umaskin wa watanzania unaoenea kwa kasi kila pembe ya nchi yetu
 
Na wewe elimu yako uliyoipata ndiyo imekufanya uandike hizi pumba? Nafuu wazazi wako wangenywea pombe tu kuliko kukulipia ada ya shule
 
Tuache ushabiki, tuache unafiki, tuache uchawa,tuache uchawa ni kipi cha maana au chenye tija ambacho kakifanya rais Samia tokea aingie madarakani?

Mimi naona hamna kitu kafanya hakuna jipya alilofanya,maana miradi yote ilikua ni ya magufuli na jk hadi kuitafutia fedha na kila kitu walifanya watangulizi wake huko kabla hata zamu yake haijafika.

Tuambieni ni lipi la maana hasa kalifanya hadi sasa?maana mimi sijaona la maana kafanya kiukweli sielewi hata anafanya nini pale jumba jeupe

Amevunja maghorofa K/koo
waziri na abdul ndiyo watendaji wakuu
wasanii wamepata mikopo ya milioni hamsa hamsa
wasanii wameingizwa kwenye kundi linalosafiri na mama
wasiojulikana wamerudi kwa kishindo
ameanzisha foharaaaa!!
 
Tuache ushabiki, tuache unafiki, tuache uchawa,tuache uchawa ni kipi cha maana au chenye tija ambacho kakifanya rais Samia tokea aingie madarakani?

Mimi naona hamna kitu kafanya hakuna jipya alilofanya,maana miradi yote ilikua ni ya magufuli na jk hadi kuitafutia fedha na kila kitu walifanya watangulizi wake huko kabla hata zamu yake haijafika.

Tuambieni ni lipi la maana hasa kalifanya hadi sasa?maana mimi sijaona la maana kafanya kiukweli sielewi hata anafanya nini pale jumba jeupe
ok!!! je? wewe kama wewe umejifanyia au umeifanyia nini familia yako?????''''''' yaani una mradi wowote ukiacha kazi kama unayo?,,,,je una nyumba au umepanga? una gari la familia? una shamba na mifugo?.....watoto wako wapo kayumba au academy?,,,,,asubui familia yako inaamka kwa kiporo au michemsho?,,,,,vipi,ukweni wanakuona mwanaume wa ukweli au wanakuchukulia poa????/,,,,,,kama umeweza hayo yote una haki ya kukosoa rais,,lakini kama umeshindwa kuongoza kafamili ka wa2 wasiozidi wa5 hauna haki ya kumkosoa m2 anaengoza wa2 wanakaribia milioni 70!!!.....[mimi sio chawa ila i have the capacity to think critically]
 
Tangu ameingia madarakani Dr. Samia suluhu Hassan amefanya mambo yafuatayo yenye tija kwa Taifa kama ifuatavyo
1: kupanda kwa bei ya mazao ya biashara ikiwemo Korosho, Mbaazi, Dengu n.k ikumbukwe kwa takribani miaka 5 nyuma bei ya mazao iliporomoka. Lakini leo hii tumeshuhudia mnada wa korosho kuwa 4900 kwa kilo 1
2: ametoa Ajira kwa wingi, kwa takribani miaka 5 Serikali haikutoa ajira, lakini tangu ameingia madarakani Mh. Samia ametoa Ajira kwa vijana katika kada mbalimbali nchini.
3: kukua kwa ushawishi wa Tanzania katika Diplomasia na mahusiano ya kimataifa, Tumeshuhudia ukuaji wa diplomasia ya Tanzania kimataifa na kuongezeka kwa ushawishi, leo tunashuhudia wa Tz kama Ndugulile kuwa mkurugenzi wa WHO, Dr. Tulia kuwa Rais wa Mabunge Duniani. Yote hiyo ni ushawishi wa Kidiplomasia.
4: Kukua kwa biashara nchini na kuongezeka kwa uwekezaji FDIs, unaweza kuona kwa takribani kipindi cha miaka 4 sasa, Taasisi ya uwekezaji (TIC) imesajili miradi mbalimbali ya uwekezaji katika nchi yetu.
5: Mzunguko wa pesa kuongezeka nchini, na TRA kuongeza ukusanyaji wa mapato tumeshuhudia katika robo tatu hii, TRA kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato nchini.
 
Back
Top Bottom