Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadiELIMU
ELIMU
ELIMU
Hii ndio shida ya kukataa mabadiliko ya kweli.
Mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadiELIMU
ELIMU
ELIMU
Hii ndio shida ya kukataa mabadiliko ya kweli.
Mbona wahandisi waliokwenda kukagua hiyo boat walitahadharisha kuwa haifai, lakini Waziri (Rais Magufuli), akang'ang'nia? Kwanini asingejiridhisha na ubora kabla ya kuizindua?Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
mwasu Specification haandiki rais.Ukiuliza hilo swali sasa hivi unajibiwa "rais hazungumzwi vibaya" kumbuka yeye ndio alikuwa waziri kwenye wizara hiyo sasa sijui ilikuwaje wakapokea kivuko kilicho tengenezwa kwa unit tofauti mpaka kilipo haribika ndio wanasema hakikutengenezwa kufuata maagizo?! hii nchi kweli ni ya mazombi baada ya yeye kula huko leo anasema kula ni jipu ila yake yamepotea baada ya kuwa mkuu na sasa yamegeuka nundu ya mafuta. Pole yetu sie.
hii kali ya mwaka !! Ndiyo kakutuma uje na utetezi huu? Nenda kamwambie kuwa utetezi huo awape akina Lizaboni ambao hukariri visivyowezekana Kwa karne ya sasa , hakuna mtanzania anayejielewa anaweza kuikubali utetezi huu wa kuharalisha wizi .Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
hicho kivuko bei halisi ni dola laki nne tu sawa na milion 800 , lakini kilinunuliwa Kwa dola milion 4 sawa na bilion 8 , ina maana kuwa bilion 7.2 zilipigwa na wajanja kifisadi , hapo kuna JIPU kubwa Waziri anafunika Kombe mwanaharamu apite.Mbona wahandisi waliokwenda kukagua hiyo boat walitahadharisha kuwa haifai, lakini Waziri (Rais Magufuli), akang'ang'nia? Kwanini asingejiridhisha na ubora kabla ya kuizindua?
tukifikia hapa ndipo tunatamani Bunge letu lingekuwa Kama la Brazil au South Africa kwenye wabunge wanaojua wajibu wao .mkuu sasa kivuko kitaanzaje kufanya kazi kabla hakijapokelewa. Kumbuka hiki kivuko tayari kimeajiri watu wanafanyakazi. Hivi kweli kitu hicho kinaweza kutokea?? Kwamba hatujakabidhiana gari nililokuuzia, lakini unalitumia kwa shughuli zako za biashara? sijakuelewa hebu fafanua kidogo hapo mkuu.
Tunaomba majina mkuu. Rais hafanyi kitu kimya kimya, ukifisadi hadharani utatumbuliwa hadharani (kwa maneno yake mwenyewe).Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
Wewe Upo gheto Kwa Lugumi nini? Yaani kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 si Hoja yenye tija? Wewe utakuwa Dalali wa huo Ununuzi wa kifisadi , haiwezekani kuja na utetezi wa barabara ambayo pengine walimnyima 10% yake ndipo akaweka Usiku . Tambua kuwa Watanzania wa sasa wameamka hawadanganyiki kirahisi .Hakuna hati ya makabidhiano mpaka sasa ikimaanisha kivuko bado kupokelewa na serikali kutokana na kasi yake si iliyomo kwenye mikataba. Kama angekuwa alikula hiyo hela ya hao wakandarasi si angelazimisha kivuko kipokelewe. Kumbuka ni huyu huyu Rais wetu akiwa Waziri wa ujenzi alikataa kuipokea barabara ya Kilwa road kutokana na kujengwa chini ya kiwango pamoja na kuwa ilikuwa ni ya msaada toka Japan na mkandarasi alikuwa kampuni kutoka Japani. Tutafute hoja zenye tija kwa Taifa.
Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
hawezi kutumbua mtu huko maana dili lilivyokwenda atajitumbua mwenyewe.Baada ya kujua wasaidizi wake wamemdanganya... aliwachukulia hatua gani? Kama alikuwa hana mamlaka ya kuwachukulia hatua, hivi sasa kashakabidhiwa mamlaka, anasita nini kuwatumbua??
Awatumbue tu kama alivyomtumbua Kebwe jukwaani tena kwa mbwembwe huku tukimshangilia.
Hhahahah prezidaa hana jipu, ana kachunusi tu....hawezi kutumbua mtu huko maana dili lilivyokwenda atajitumbua mwenyewe.
ahahaha,mkuu hili jibu ni kali,mpaka aliye mjibu kakimbia!mkuu sasa kivuko kitaanzaje kufanya kazi kabla hakijapokelewa. Kumbuka hiki kivuko tayari kimeajiri watu wanafanyakazi. Hivi kweli kitu hicho kinaweza kutokea?? Kwamba hatujakabidhiana gari nililokuuzia, lakini unalitumia kwa shughuli zako za biashara? sijakuelewa hebu fafanua kidogo hapo mkuu.
mkuu,umeshiba usaha nini?Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
Ni kweli mabadiliko hayawezi kuletwa mafisadi waliuza nyumba za serikali na kivuko kibovu.Mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi
Link Kaduma: JPM arejeshe nyumba za SerikaliKazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
Hawakufanya ukaguzi kabla hakijaletwa nchini? Kasoro zinagundulika baada ya kukisafirisha. Na kwa nini walifanya uzinduzi kabla hakijakubaliwa wakati wa ukaguzi (Inspection)?Wandugu!
Kama muhandisi najua kuwa wakati wa utangazaji zabuni huwa kuna uzingatiaji wa kitu kinaitwa engineers ????? be it estimate, specification et ell!
Kwenye suala la kivuko as per Prof, specificatiom ilitakiwa 20unit lakini boti iliyokuwa imeingizwa ni ya 15.7 unit!
Je specification ilizingatiwa? kwa uelewa wangu kama ukimiss specification tender inakuwa void! au sijui labda sheria ya tendering zimebadirishwa????
Kumbe mawaziri wote wliokuwa wanajiuzulu miaka nenda rudi ulikuwa hujui,leo kwasababu ni magufuli ndo unasema hahusiki...rafiki yangu kuna kitu kinaitwa collective responsibility...hata Mwinyi alipojiuzulu kwaajili ya mahabusu kufa Shinyanga sio yeye ndo aliewaua..Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.
mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui