upo sahihi. nadhani kwenye hii comment ajifunze kitu.MKUU kuna vitu viwili hapo inabidi utafakari. moja inawezekana demu amekuta yaliomo sio alivyo tarajia[maybe hujui kugegeda au hujamfikisha alipo tarajia so akaona ili usije kujiweka mazima bora akwambie hivyo]. pili labda amekuona mawazo yake na yako tofauti, story unazopiga au kakuona hujajipanga kimaisha hahaha.tafakari mengi nainawezekana usipewe tena.nimtazamo tu
Nimekusoma sana chalii araa.If a mama lets you have a bite of that apple pie, and it's you who has to ask that "what are we" like question after, just know that you underperformed my dude. You were on trial, and you couldn't cut yourself in.
I couldn't agree more mkuuIf a mama lets you have a bite of that apple pie, and it's you who has to ask that "what are we" like question after, just know that you underperformed my dude. You were on trial, and you couldn't cut yourself in.
Na mimi nimejiuliza eti, hivi tutafika wapi na hawa wanaume wenye ndoa ila wanakitembeza tu nje kama kawa! !!Mkuu hii mada nami inanigusa sana, kuna cku nilienda huko mbali mashambani kwajili ya kilimo, kule tukafahamiana na dada mmoja tukawa tunapiga story mara nyingi sana, ilifika wakati tuka duu bila hata yakumtongoza na hadi saiz nikimwambia aje nilipo anakuja na amesema hata akiolewa atanipa mzigo niugegede. Sasa najiuliza hivi hawa wanawake tutafika wapi na mimi nina mke.
Habari za muda huu wadau,
Nilikuwa nataka kushare na nyie jambo flani lilinikuta this week ili tujadili kidogo. Kuna mschana flani nilikuwa nampenda long time lakini sijawahi kumwambia ila tulikua tumezoeana kimtindo sasa juzi kati nimerudi kitaa nimemkuta na yeye ndio amemaliza form 6 yupo mtaani anasubiria majibu.
Nilikutana nae last week tukabadilisha namba after we chat for a while nikamualika aje gheto. Alikuja juzi sasa baada ya story we found ourselves having sex ila sijamtongoza hata, mwenyewe sikuamini nikajua labda na yeye alikua ananielewa.
Sasa kituko ni leo asubuhi nikamuuliza vipi ana mpango gani na mimi eti ananiambia ana boyfriend wake na hawazi kuchanganywa mabwana wawili sasa najiuliza ilikuaje akakubali tusex na uyo bwana wake ambae anadai yuko chuo anajua ana girlfriend wake yupo mtaani.
Hivi kwa hali hii hata tukija kuoa si tutamegewa sana?
ha ha ha hiyo hali hata mimi inaninyimaga raha..
kuna mdada nilimfukuzia sana zaman tukapotezana siku tunaonana... akanikaribisha kwake nami akaja nitembelea kwangu...
story story na utani mwingi tukajikuta tume duu.. baadae ananiambia ana mchumba wake hawez changanya wanaume wawili.. wakati anayasema hayo tupo kitandani amelala kifuani...
nikasema kweli kazi ipo hiki kizazi.. hata ndoa tunakamilisha ratiba tu..
uaminifu hakuna kabisa
Naomba nikutoe...tatizo hamuwatoi na ndio maana wanawaletea drama, we unapiga tu hata buku humtoi sasa ukimuuliza anampango gan na ww unategemea akujibu nn?