Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,163
- 100,460
Japo kuna kipindi kingine na kaza fuvu navaa ujasiri mkuu bila kuwa hata na chembe ya huruma wala masikio ya kusikia vilio vyake na mbana kisawa sawa asinisumbue na kumzagamua hivyo hivyo haijalishi atatoa hata machozi ya damu au laha analia sana , anajigaragaza mno na wakati mwingine anajinyofoa hadi nywele zake ile nikitoa tuu
Nimesoma hadi hii paragraph...
Mzee baba hebu nirudishie chenji nishuke, nishafika kituoni...