Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Absolutely...GOLD DIGGERS.! except kwa wachache wapo in my private list
Happy women day.Baasi mie nikajua sifa za wanawake wote kumbe wa humu jf aiseee pole,wamekufanya nn wanawake wa humu??comments za watu mara nyingi hazina uhalisia na maisha yao halisihalisi.
Sijamaliza gazeti lote mood ilikata baada ya kuona unatoa mifano kwa comments.
Judge me or do whatever,thread yako haina mantiki labda ungetafuta mtu akakusaidia kidogo kuweka ka uhalisia kwa maisha ya uraian zaidi kuliko comments za humu.
HAPPY WOMEN'S DAY
Kweli mkuuAbsolutely...GOLD DIGGERS.! except kwa wachache wapo in my private list
Happy women day.
Kisaikolojia wengi post zao humaanisha tabia zao halisi ndio maana ya kutumia fake ID Kama hujui.
Are you sure sijielewi?? Na ni tabia gani uliyotaja hapo ina ugumu wakuelewekaWengi hawajielewi Kama huyo hapo
Kwa sifa alizozitaja hapo me naona sinaHuwezi kujijua kuwa huna
Ndio maana nikasema sio wote bali "wengi". Sijakusudia kumdharau mtu, kumuonea mtu katika post yangu mkuu.Sio kabisa,kuna watu unaweza wahukumu kwa matendo yao humu huku uraian ni watu tofauti kabisa.
Mie hapa ukinipa hela sikatai ujue. Na pia sio kila aliyetokea familia maskin ndio mpenda hela sana,watu wamezaliwa pesa ipo ila wanataka zaidi na matumizi makubwa. Pesa haina mwenyewe.
Sijadhamiria kukuudhi mkuu. Ila unaweza kuwa na tabia Fulani na usielewe kuwa unayo ila watu wanakuambia kuwa unayo.Are you sure sijielewi?? Na ni tabia gani uliyotaja hapo ina ugumu wakueleweka
Hahahaaaaaaa!!!!Mtoa mada naomba mfano wa mdada mmoja wa humu anaependa sana pesa.... Au ulikuwa unamzungumzia yule anaejiita Miss______!!
Haina nomaa, apa tunachat tu nko nyuma ya keyboard maisha yangu halisi huyajuiSijadhamiria kukuudhi mkuu. Ila unaweza kuwa na tabia Fulani na usielewe kuwa unayo ila watu wanakuambia kuwa unayo.
Hivyo Kama unapenda pesa basi huwezi kukosa Sifa moja kati ya hizo nilizozitaja au hata zile nisizozitaja.
Pole Kama ulichukia
Haina nomaa, apa tunachat tu nko nyuma ya keyboard maisha yangu halisi huyajui
Btw muendelezo wa Arafa vepee
Mwanamke anayekupenda hawezi kukupiga mizinga waulizeJamani cku hizi sio kabsa! Ukimpata anaweza kushare maisha mshukuru Mungu! Lkn wengi wanapiga mizinga unaogopa hata kuonana nae .Mkikutana tu unapigwa mzinga, hata ATM hazipo hvyo
Huyo kwake anakwambia laki si pesa...Hahahaaaaaaa!!!!
Kuna wanaoongea kwa mizaha humu na pia wapo wanaoongea matamanio walioyakosa.
Huyo sidhani Kama anapenda pesa ila nadhani anaongelea matamanio aliyoyakosa.
Anakuvutia Subira! Jamani tuhurumiane wote tunajua hali ilivyo.Mwanamke anayekupenda hawezi kukupiga mizinga waulize
Inna, Numbisa, Miss Chagga, Faiza Foxy, Joanah etc
Anakuvutia Subira! Jamani tuhurumiane wote tunajua hali ilivyo.